AdsBlog ni jukwaa la kidijitali linalofanya kazi Tanzania. Picha hii inaonesha nyaraka za usajili wa biashara kutoka BRELA pamoja na Tax Clearance Certificate kutoka TRA zinazohusishwa na huduma zinazotolewa. Tunawahimiza watumiaji kuthibitisha taarifa hizi kupitia mamlaka husika na kusoma masharti ya huduma kabla ya kufanya maamuzi. Karibu ujifunze zaidi kuhusu huduma zetu na uwasiliane nasi kwa maelezo zaidi
